Thursday, January 26, 2012

KAMA ALIVYOKUJA NIPA JAN PASSEH JUZI AKIWA MASOMOINI!

MPYA YA JAY MO IME LEAK


Ngoma ya kwanza kutoka Bongo Records mwaka 2012, inayotarajiwa kutoka mwishoni mwa wiki hii inayoitwa U CAN NEVER B ME ndani yake akiwemo Jay Mo, Mimms kutoka Marekani Immu Cabir kutoka Mozambique na Avid kutoka bongo, imeleak kitaani.Baada ya kumvutia waya P funk alikua na haya kusema





Producer Antonio wa Bongo Rec ndie anaelalamikiwa kuitoa ngoma hiyo bila makubaliano na P

JAN PASSEH AKAONA KULE AKANIULIZA! RIHANA ANAKULA NINI!

The reason why people love Rihanna is because she doesn’t give a fuck. She was spotted in Hawaii relaxing and smoking a nice blunt. She’s freaky and she gets high, no surprise but it makes people love her even more. If you look at the pics closely you see she is getting faded as hell. Rihanna goes from sitting straight up to laying down in lala land lol. Rihanna you’re the best lol.




Wednesday, January 25, 2012

JIPANGENI MASHARO WAKWENU NI WA HIVI!


Ukiachilia mbali suala zima la kutupia ulimi pale kati, mixa ming’aro ya ziada kiasi cha kumpiga jeki yule asiyekuwa na mauzo ya kutosha...leo namdondosha kwenu ‘HANDSOME’ ambaye yeye binafsi anaamini anashine bila bling bling kwasababu ana mwili na sura nzuri na hii ni tangu enzi za analogi hadi digito (SWAGGA). Anaitwa Dully Sykes au Prince Dully Sykes a.k.a Brazameni Dully a.k.a Mr Misifa ambaye ametuibukia pande hizi ili kutukumbusha kuhusu historia ya huu mziki wetu wa Bongo Flava.
Huyu Braza alianza Muziki miaka ya 1994 kipindi cha akina Saleh Jabir, naposema kipindi cha akina Salehe Jabir namaanisha ni enzi zile wasanii wetu wanachukua nyimbo za nje na kuzitafsiri kwa kiswahili.. ni kipindi ambacho kilifuata baada ya kile cha ‘MIE NI MSELA/ NINA KICHWA KAMA PERA/SIWEZI KWENDA JELA/ KWASABABU NA MAHELA…’3 Bila shaka hiki ni kipindi ambacho Ubunifu ulikua umeanza kupewa kipaumbele, naam, hii ni hatua ya 3 baada ya ile ya kuimba nyimbo za nje kama zilivyo, kipindi hicho tulikuwa na wakavaji (hawa ni wale ambao walikua wakiipenda ngoma tu lazima waikariri na waifanye kwenye show zao) so tukawa na vikundi vya Naughty by nature  wabongo, Michael Jackson wa bongo, Mc Hammer wa bongo na Vannilla Ice wa Bongo.
Elvis,Michael Jackson,UB 40, ni baadhi ya wale waliomuinspaya(kumvutia kimuziki) huyu Prince wa Bongo Flava.. na alikua akiimba nyimbo zao na kuzicheza kama wao kwenye maafali ya darasa la saba au birthday parties za mitaa yake ya kariakoo, show yake ya kwanza ilipigika ndani ya shule ya Shaaban Robert mnamo mwaka 1996 na huko aliwaambia INFORMER ya SNOW,na Dj alikua P FUNK kutoka shule ya IST (International school of Tanganyika.


Dully alipenda kuwa Mwanamuziki mwenye nyimbo zake mwenyewe na sio zile za kuiga,na katika kulikwepa hilo alijitengenezea utaratibu wa kuandika nyimbo kwa kufuata hisia zake yeye mwenyewe kama yeye,kwahiyo hakuwa na jinsi zaidi ya kuibuka maeneo ya studio za  Don Bosco mnamo mwaka 1998.
Hata hivyo juhudi zake za kurekodi nyimbo Don Bosco ziligonga Mwamba baada ya kukuta foleni kubwa pale studio na zile nenda rudi za Maproducer wetu.. ‘waliniambia niwalipe Elfu Tano ili nirekodi..na hiyo ndo ilikua bei kamili ya studio, nikawapa na pia kama haitoshi nikanunua hadi Chrome.. tatizo studio ilikua bize halafu mie nilikua na mizuka ya kutosha so sikutaka kuwapa pointi, inshoti  niliwapotezea lakini hadi leo ile loss ya ELfu Kumi inaniuma.. © Dully

Judgement day(ilirekodiwa Marimba records chini ya Mpishi Mr Chaz) ndo title ya Ngoma yake ya kwanza,kwa bahati mbaya haikufanya vizuri kabisa, hakuna aliyeikubali au kuielewa.. lakini siku zote mwanzo huwa mgumu au vipi? Well,hakuna asiyejua ya kwamba Hustla huwa hachoki kwasababu Nia ya mtu huwa imo ndani ya dhamira yake, so ni yeye wakuitengua au kuitilia mkazo
Dully aliamua kujifanyia research yeye mwenyewe ili akijue kile kilichosababisha Tonge lake lisifike Mdomoni na kabla Udhaifu wake haujamulemea,alibahatika kukutana na Dj Stevie B au ‘SKILLZ’(kitambo hicho alikua anaswagua pale Sugar ray)  desemba ya mwaka 99 na ushauri pekee aliopewa ni ‘UNAIMBA VIZURI TATIZO WABONGO WENGI HAWAJUI KIINGEREZA, NADHANI UTAFIKA HUKO UNAKOTAKA KWENDA KAMA UTATUMIA KISWAHILI KWENYE TUNGO ZAKO MDOGO WANGU’

Unajua ukweli huwa unahitaji maneno machache tu, nadhani ndo maana ikaclick fasta kwenye ubongo wa mwanafleva huyu na kabla ya karne ya 21 kuingia tayari alikua ashakutana na Mika Mwamba na kile kibao cha ‘JULLIETTA’ kilitoka na kumtambulisha vyema kwenye Medani ya Mziki.
Bila shaka ukimuuliza Mwanamuziki yeyote ambaye anatamba hivi sasa au ashawahi kutamba kuhusiana na hizi chati zetu za kibongo atakuambia ‘kuhiti  sio vigumu,vigumu ni kupakua hits baada ya hits’
Ujio wa Dully Sykes ulikuwa ni wa kipekee,bora na wa maana kabisa na cha kushangaza zaidi ni pale alipoongeza makakamavu na kuziacha sifa zimjenge badala ya kubweteka na ktk kulithibitisha hilo aliendelea kupakuwa mawe ya nguvu kama 1- stori ya ukweli 2- Nyambizi 3- Mr Misifa (alipewa na P Funk hilo jina) 4-Salome
Mwaka 2002 alizindua album yake ya kwanza pale Diamond Jubilee, na uzinduzi wake uliendeshwa kwa style ya NANI ZAIDI?kati yake na  T.i.d (Top in Dar) na mpaka tunarudi mitamboni ukumbi mzima ulikua upande wa Dully na hali hio haikunishangaza hata mimi kwasababu kazi za Dully zilikua sio kama zile za KOBE WA JUU YA MTI,yaani hapa namaanisha sio mpaka apandishwe ndo awe juu,so tayari mshajua nani alionekana kidume siku hiyo au vipi? Naomba tukumbuke ya kwamba style hii ya kuwapambanisha Magwiji hawa ilitumika kama njia ya kuwavutia mashabiki, kuwapa hamasa ili wajitokeze kwa wingi ukumbini na wala sio kama hawa jamaa walikua na Bifu kama ambavyo wengi walifikiri hapo mwanzoni au labda minong’ono ya nani mkali Mitaani.

Dully aliendelea kulitetea Taji hilo la Mkali wa Bongoflava kwa kupakuwa Mawe mengine ambayo yote yalihit au bado yanasumbua kwenye chati kama 1-Handsome  2-ladies free  3-kijakazi 4-hi  5-leah  6-tanita  7-Jackie  8-Eva  9- Rafiki  10-Latoya  11-Nakupenda 12-Ningejua 13-Mariah Mariah 14- Bijoux 15- hunifahamu 16-Loudspeaker 17-asha

Ni kwere kweli mi ndo wanaatamani maaaaaaaaaaaa!

BIFU YA LOVENESS LOVE na MR BLUE YAMKUMBA NA DJ CHOKA

E-mail

Hivi karibuni ziliandikwa habari kwenye gazeti moja kuwa Msanii wa kizazi kipya Mr Blue anamsumbua Mtangazaji wa clouds wa kipindi cha ala za roho Loveness Love, DIVA. Habari hizi zikiwa zimetapakaa kila kona Dj Choka aliandika habari hii kwenye Blogu yake akidai amepigiwa simu na Mr Blue akikanusha habari hizi.

Baada ya Loveness Love kuona habari kwa Dj Choka alimtumia msg Dj choka ikisema Hivi
"Nime ku sue by using my name kwa blog yako kwa faida zako binafsi, kesi iko kwa mwanasheria nikirudi fiesta sheria ina chukua mkondo wake. Lemme be professional"

Hii yote ni kutokana na habari aliyoweka Dj Choka kwenye blogu yake. Bongo5 iko njiani kumtafuta loveness Love, Dj Choka na Mr Blue kuelezea hili kiundani zaidi.

Hits: