Wednesday, January 25, 2012

Ni kwere kweli mi ndo wanaatamani maaaaaaaaaaaa!

BIFU YA LOVENESS LOVE na MR BLUE YAMKUMBA NA DJ CHOKA

E-mail

Hivi karibuni ziliandikwa habari kwenye gazeti moja kuwa Msanii wa kizazi kipya Mr Blue anamsumbua Mtangazaji wa clouds wa kipindi cha ala za roho Loveness Love, DIVA. Habari hizi zikiwa zimetapakaa kila kona Dj Choka aliandika habari hii kwenye Blogu yake akidai amepigiwa simu na Mr Blue akikanusha habari hizi.

Baada ya Loveness Love kuona habari kwa Dj Choka alimtumia msg Dj choka ikisema Hivi
"Nime ku sue by using my name kwa blog yako kwa faida zako binafsi, kesi iko kwa mwanasheria nikirudi fiesta sheria ina chukua mkondo wake. Lemme be professional"

Hii yote ni kutokana na habari aliyoweka Dj Choka kwenye blogu yake. Bongo5 iko njiani kumtafuta loveness Love, Dj Choka na Mr Blue kuelezea hili kiundani zaidi.

Hits: 

1 comment: